Msaada , iphone 3G troubleshooting!

Rugas

JF-Expert Member
Jan 8, 2009
1,048
195
Wakuu,heshima mbele!
Nina I phone 3G, baada ya kuwa slow sana nikaomba ushauri kwa fundi mmoja, akaniambie ni i reset na kufuta contents zote.Nimecommand reset, tangu jana....mpaka sasa imedisplay tu logo ya apple juu na hakuna kinachoendelea..
Je nifanyeje hapo!
 
morphine

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
3,439
1,002

connect it to updated itune software then see if there is any OS updates download and install, hopefully will solve your problems b'cuz it seems like there is missing/ corrupted file on starting it up.

Jitahidi internet connection yako isiwe ya kusua sua.
 
Asante sana mkuu! Ngoja nijaribu,Nitarudi kwako kwa msaada zaidi.
 
Rugas

JF-Expert Member
Jan 8, 2009
1,048
195
connect it to updated itune software then see if there is any OS updates download and install, hopefully will solve your problems b'cuz it seems like there is missing/ corrupted file on starting it up.

Jitahidi internet connection yako isiwe ya kusua sua.

Mkuu habari!
Nimejaribu hii mbinu imeshindikana.Maana tatizo simu haionekani kwenye itunes,kwa hali hiyo nashindwa kufanya updates,mpaka sasa inaonyesha alama ya apple kwenye screen.

asante mkuu!
 
Skillseeker

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
225
34
Jaribu kuingia recovery mode uone kama itakubali.
hold down the Home button and THEN connect your iPhone into your computer WHILE holding down the Home button. Eventually, you will get a connect to iTunes screen on your iPhone, which tells you that you are in Recovery Mode.
 
Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,889
667
When u connect to the pc hold home and shutdown buttons until u see i cons told u connect is active, and u can continue
 
morphine

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
3,439
1,002
Mkuu habari!
Nimejaribu hii mbinu imeshindikana.Maana tatizo simu haionekani kwenye itunes,kwa hali hiyo nashindwa kufanya updates,mpaka sasa inaonyesha alama ya apple kwenye screen.

asante mkuu!

ngoja nirudi chimbo kdg ila kwa kipindi hiki tusikilize wadau wanashauri nn
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom