Ndiyo,, hiyo ipo mkuu bila kutumia email na kuamua kutuma kwa njia ya posta tu barua na kufanikiwa kuitwa kwenye usahili.Kuna yeyote aliepeleka post zake moja kwa moja Msalato bila kutumia email na kaitwa kwenye usahili ?
Hivi itakuwaje wakatoa nafasi Jwtz na hapohapo magereza wamekuchagua mkuu...unaweza kuacha hiyo nafasi au haiwezekani kuacha kama ulichaguliwa magereza tayar?View attachment 2027344
Ngoja tuone hio kesho huenda kukawa na jambo tuombe mungu
Sio kweliYani kwa taarifa niliyonayo hapa wakuu kama hujaitwa naulikua na vigezo vyote kuna kigezo cha GPA kilihusika pia. waliangalia mpaka GPA yako ya chuo...kila taaluma walikua wanasort by GPA ni hayo tu wadau.Kama taaluma yako walikua wenye GPA kubwa wengi basi GPA ndogo hawakuitwa.
Apo nadhani utatumia kigezo cha mapenz yako binafsi ,ni wapi unapapnd zaidi kakaaHivi itakuwaje wakatoa nafasi Jwtz na hapohapo magereza wamekuchagua mkuu...unaweza kuacha hiyo nafasi au haiwezekani kuacha kama ulichaguliwa magereza tayar?
Ukweli ukoje kaka tufahamishe tujue ...Sio kweli
Ukweli ukoje kaka tufahamishe tujue ...
Hivi itakuwaje wakatoa nafasi Jwtz na hapohapo magereza wamekuchagua mkuu...unaweza kuacha hiyo nafasi au haiwezekani kuacha kama ulichaguliwa magereza tayar?
Mie binafsi kwa mtazamo wangu Naona hakuna jambo ,zaidi kujikita kutoa onyo au vitisho kwa watu wanaotaka kuwasaidia watu kupata nafasi chomboni, au kuepuka matapeli wanaotaka kuwasaidia kupata nafasi chomboni, labda na kuongelea masuala ya usalama, ila kutangaza neema tusahau ... naweza kuwa sahihi au nisiwe sahihi ni mtazamo wangu binafsiView attachment 2027344
Ngoja tuone hio kesho huenda kukawa na jambo tuombe mungu
Mie binafsi kwa mtazamo wangu Naona hakuna jambo ,zaidi kujikita kutoa onyo au vitisho kwa watu wanaotaka kuwasaidia watu kupata nafasi chomboni, au kuepuka matapeli wanaotaka kuwasaidia kupata nafasi chomboni, labda na kuongelea masuala ya usalama, ila kutangaza neema tusahau ... naweza kuwa sahihi au nisiwe sahihi ni mtazamo wangu binafsi
Jeshi huwa wanatangaza nafasi zake kwa mfumo wa press, ndo hivyo, hata mwaka 2018 walifanya hivyo walivyo kuwa wanataka kada za afya.Mie binafsi kwa mtazamo wangu Naona hakuna jambo ,zaidi kujikita kutoa onyo au vitisho kwa watu wanaotaka kuwasaidia watu kupata nafasi chomboni, au kuepuka matapeli wanaotaka kuwasaidia kupata nafasi chomboni, labda na kuongelea masuala ya usalama, ila kutangaza neema tusahau ... naweza kuwa sahihi au nisiwe sahihi ni mtazamo wangu binafsi
Kwakwel maana mh hatari tarehe zitofautiane tu aiseeApo nadhani utatumia kigezo cha mapenz yako binafsi ,ni wapi unapapnd zaidi kakaa
😄ila Mungu mwema MrMzee changamoto hio....hapa nawaza tuu kama tarehe ya usaili wa Magereza ikawa sawa na tarehe ya jwtz
ila Mungu mwema Mr
Tuombe Mungu taarifa ikawe ya heri🙏🏾Jeshi huwa wanatangaza nafasi zake kwa mfumo wa press, ndo hivyo, hata mwaka 2018 walifanya hivyo walivyo kuwa wanataka kada za afya.
Tulienda mgulani pale twalipo na tulikuwa wengi.
Lakin yote kwa yote walitoa kwa mfumo wa tangazo
Kabisa kabisa unanipa maimani kama yote👏🏾👏🏾...Cha muhim Mungu anakupa kile kilichokuwa sahihi na Imani yangu kuwa ulipata magereza basi ana makusudi yake na ukipata jw vilevile ana makusudi yake Cha muhim yote ya Yote Mapenzi yake yatimizwe tu🙏🏾.Nakubali sana .... na alilopanga mungu kwako litakua tuu unaweza ukaitwa usaili magereza lakini mungu amekupangia rizq yako jw ko utaenda tuu jwtz mzee
Kikubwa dua
Sikupingi bro ,,ila tutaona Ka ajira zitatangazwa ,ila Mie najua yatakuwa mengine ,,,saa 4 sio mbali broJeshi huwa wanatangaza nafasi zake kwa mfumo wa press, ndo hivyo, hata mwaka 2018 walifanya hivyo walivyo kuwa wanataka kada za afya.
Tulienda mgulani pale twalipo na tulikuwa wengi.
Lakin yote kwa yote walitoa kwa mfumo wa tangazo
Sikupingi bro ,,ila tutaona Ka ajira zitatangazwa ,ila Mie najua yatakuwa mengine ,,,saa 4 sio mbali bro
Haya wale mliofatilia press mtujuze walicho ongelea,Point....ngoja tusubir hio kesho saa4 kamili asubuh