Msaada interview za Jeshi la Magereza

IMG_1707.jpg

Ngoja tuone hio kesho huenda kukawa na jambo tuombe mungu
 
Yani kwa taarifa niliyonayo hapa wakuu kama hujaitwa naulikua na vigezo vyote kuna kigezo cha GPA kilihusika pia. waliangalia mpaka GPA yako ya chuo...kila taaluma walikua wanasort by GPA ni hayo tu wadau.Kama taaluma yako walikua wenye GPA kubwa wengi basi GPA ndogo hawakuitwa.
Sio kweli
 
Hivi itakuwaje wakatoa nafasi Jwtz na hapohapo magereza wamekuchagua mkuu...unaweza kuacha hiyo nafasi au haiwezekani kuacha kama ulichaguliwa magereza tayar?
Apo nadhani utatumia kigezo cha mapenz yako binafsi ,ni wapi unapapnd zaidi kakaa
 
Inawezekana ujaitwa kwenye usahili na ukaamua kwenda ivo ivo ..Liwaloo na liwee uko uko
 
Hivi itakuwaje wakatoa nafasi Jwtz na hapohapo magereza wamekuchagua mkuu...unaweza kuacha hiyo nafasi au haiwezekani kuacha kama ulichaguliwa magereza tayar?

Mzee changamoto hio....hapa nawaza tuu kama tarehe ya usaili wa Magereza ikawa sawa na tarehe ya jwtz
 
View attachment 2027344
Ngoja tuone hio kesho huenda kukawa na jambo tuombe mungu
Mie binafsi kwa mtazamo wangu Naona hakuna jambo ,zaidi kujikita kutoa onyo au vitisho kwa watu wanaotaka kuwasaidia watu kupata nafasi chomboni, au kuepuka matapeli wanaotaka kuwasaidia kupata nafasi chomboni, labda na kuongelea masuala ya usalama, ila kutangaza neema tusahau ... naweza kuwa sahihi au nisiwe sahihi ni mtazamo wangu binafsi
 
Sawa boss.....kesho saa4 asubuh sio mbali anything can happen .....tutajua hio kesho ukweli ni upi.....
 
Mie binafsi kwa mtazamo wangu Naona hakuna jambo ,zaidi kujikita kutoa onyo au vitisho kwa watu wanaotaka kuwasaidia watu kupata nafasi chomboni, au kuepuka matapeli wanaotaka kuwasaidia kupata nafasi chomboni, labda na kuongelea masuala ya usalama, ila kutangaza neema tusahau ... naweza kuwa sahihi au nisiwe sahihi ni mtazamo wangu binafsi
Jeshi huwa wanatangaza nafasi zake kwa mfumo wa press, ndo hivyo, hata mwaka 2018 walifanya hivyo walivyo kuwa wanataka kada za afya.

Tulienda mgulani pale twalipo na tulikuwa wengi.

Lakin yote kwa yote walitoa kwa mfumo wa tangazo
 
Tuombe Mungu taarifa ikawe ya heri🙏🏾
 
Nakubali sana .... na alilopanga mungu kwako litakua tuu unaweza ukaitwa usaili magereza lakini mungu amekupangia rizq yako jw ko utaenda tuu jwtz mzee

Kikubwa dua
Kabisa kabisa unanipa maimani kama yote👏🏾👏🏾...Cha muhim Mungu anakupa kile kilichokuwa sahihi na Imani yangu kuwa ulipata magereza basi ana makusudi yake na ukipata jw vilevile ana makusudi yake Cha muhim yote ya Yote Mapenzi yake yatimizwe tu🙏🏾.
 
Jeshi huwa wanatangaza nafasi zake kwa mfumo wa press, ndo hivyo, hata mwaka 2018 walifanya hivyo walivyo kuwa wanataka kada za afya.

Tulienda mgulani pale twalipo na tulikuwa wengi.

Lakin yote kwa yote walitoa kwa mfumo wa tangazo
Sikupingi bro ,,ila tutaona Ka ajira zitatangazwa ,ila Mie najua yatakuwa mengine ,,,saa 4 sio mbali bro
 
Back
Top Bottom