Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,206
Ile source ilisema baada ya sensa wanakuja


daah mwezi wa tisa kabisa huo sema Mtu ukipata dili la sensa siku zitakuwa zinaenda kasi sana huku ukiingiza mpunga
Ila ukiwa unga unga mwana mwezi wa tisa parefu kudadekiii


