Msaada internet samsung galaxy 4s

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Wakuu habari za majukumu
natumaini wote wazima,ila ambao kidogo kiafya hawapo vizuri tuwaombee kwa mungu wapone mapema,
ombi langu kuu naomba mwenye kujua manual setting za internet anielekeze,nimejaribu kugoogle lakini sijaweza kupata maelezo ya kunitosha.
Asanteni
 
Hii unapaswa ku-create new APN
Nenda >settings>networks>mobile networks>access point names>new APN..name->any..->APN-internet..then save and restart.
 
asante mkuu nimefanikiwa
na asante chief kwa kunirekebisha.
 
Back
Top Bottom