Msaada: Matatizo ya internet katika NOKIA 310

cjilo

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
884
250
NImenunua kacm kangu kama week imepita, nika-instal pia whatsapp maana ndo ilinifanya niipende hii cm
mwanzoni ilikuwa nikihitaji kuingia internet inaniuliza kama nataka kutumia sim 1 au 2 mara nyingi huwa natumia sim 2,
tatizo limeanza siku ya xmas, ghafla nikaona whatsapp ina-load tu kwa mda mrefu bila kufungua kutuma wala kupokea msg, hilo tatizo ni mpaka leo, hata kwenye browser pia haitaki internet ina-load kwa mda mrefu sana na mwishowe pia inakataa na haiulizi tena kama nataka kutumia sim 1 au 2.inaniambia ni-check internet connection settings.
Nilichojaribu kufanya ni kuizima na kuiwasha cm, kubadilisha line lakini wapi mpaka mda huu cjafanikiwa kabisa, natumia line ya airtel na tigo, ila kwenye net napenda airtel zaidi.
naomba mwenye ufumbuzi anisaidie tafadhali.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,790
2,000
kaka unatumia internet ya tigo? nita assume net ilisumbua kwa muda na ulivyotoa line ukapoteza setting.

nokia asha zinapata matatizo ya configuration fake toka kwa operator hasa tigo.

kusolve hilo nokia walitoa tutorial ya kusolve hili tatizo ni ndefu ila nitajaribu kuifupisha na iwe yenye kueleweka.

nenda path hii
-setting halafu
-configuration halafu
-personal configuration
ukishafika kwenye personal configuration bonyeza option halafu add new

chagua access point

turn back mpaka personal configuration halafu add new tena sasa hivi chagua web halafu back tena sasa hv utapata vitu viwili. my web na my access point.hapa tushamaliza step ya kwanza ya kutengeneza configuration sasa inabidi tuzi activate ili nisikuchanganye bonyeza button ya kukata simu tuanze mwanzo.

nenda tena setting halafu configuration halafu click default configuration eka iwe personal configuration. then activate default kwenye all application.

click kwenye access point halafu chagua my access point.

hapo utakua umemaliza ba simu yako itakua na internet
 
nikushukuru sana chief kwa msaada wako, naamini siku nyingine nikipatwa na tatizo hili itakuwa rahisi zaidi kulitatua, nilivyoona msaada wa unachelewa nikakata shauri ku-restore factory settings nilishindwa kujua security code ila baada ya ku-google sana nilipata, kwa sasa hilo tatizo limekwisha, Shkrani sana ndugu chief
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom