Msaada: Internal resistance of dry cell

Msaada: Internal resistance of dry cell

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,412
Wakuu nakusalimuni, kwa wale wataalamu wa fizikia naomba kuuliza, je value ya internal resistance of dry cell ni constant? Kama ndio ni ngapi?

Natanguliza shukrani.
 
Siku nyingne usiingilie mjadala wa watu wenye akili timamu.


Wewe una akili gani?!!, unashindwa hata kuandika resistance in its Unit.

Mfano; mtu mwenye akili anaweza kuuliza: " Hivi uzito wa jiwe hili ni 1??"🤣------ wakati ambapo swali lingekuwa hivi: " Hivi uzito wa jiwe hili ni Kilogram 1 ??.

Watoto wa siku hizi ni caput sana.
 
Wewe una akili gani?!!, unashindwa hata kuandika resistance in its Unit.

Mfano; mtu mwenye akili anaweza kuuliza: " Hivi uzito wa jiwe hili ni 1??"[emoji1787]------ wakati ambapo swali lingekuwa hivi: " Hivi uzito wa jiwe hili ni Kilogram 1 ??.

Watoto wa siku hizi ni caput sana.
Huwa naona kinyaa ninapoona mtu mzima anafanya ushindani wa kipuuzi, ko waliojibu hapo wamepoteza nini? Kihiyo tu wewe!
 
Huwa naona kinyaa ninapoona mtu mzima anafanya ushindani wa kipuuzi, ko waliojibu hapo wamepoteza nini? Kihiyo tu wewe!


Wewe hujitambui ni bora ungalikuwa mwehu ningekuacha kwani hata mwehu kuna wakati anajitambua, unashindwaje kutambua na kukiri kwamba ulikosea??!🤣

Kihiyo ni mimi au wewe usiyejua kuwa resistance of a conductor must be denoted with its unit??-- kama wewe sio Kihiyo ulishindwaje kuandika 1ohm na ukaandika 1 pekee??. kama hao walikuacha na ujinga wako walikupuuza tu na ukihiyo wako unaotaka kuambukiza watu.
 
Back
Top Bottom