advocate kiza
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 259
- 90
Habirini wakuu,
Nimepanga nijiunge pale IJA, kwa ngazi ya cheti(sheria) sasa nilikuwa nahitaji maelezo kidogo kukihusu, mgafano, upatikanaji wa hostels, gharama za maisha, msuli wa pale, nimejaribu kutafuta mtandaoni sijapata
Thamk in advance