Heshima kwenu wakuu.
Naomba kwa yeyote mwenye kuwa nayo hiyo beat ya Mboga Saba toka kwa MR.BLUE anisaidie tafadhali.
Nimejaribu ku-search google ila nimekuta ambazo watu wane-copy lakini sio yenyewe Original.
Kwa yeyote mwenye beat hiyo ambayo ni Original naomba anisaidie wakuu.
Natanguliza shukran kwenu wandugu. Thanks a lot.