msaada Instagram

msaada Instagram

Mkuu nilikua nahitaji kujua HTML color code zilizo kwenye JF profile Dashboards ili niweke kwenye background ya avatar yangu nnayo i edit.. Nimejaribu lakini naona zinatofautiana kidogo.

Thanks for your reply.

kumbe kiswahili unajua mkuu
 
snipa Unaonaje ukafanya ku-screeshot/print screen hiyo dashboard ya JF then after ukaingiza kwa Photoshop then kwa kutumia "Eye Droper" tool ukafanya color sampling.. kingine kumbuka kuwa umaweza ukatumia gradient tool kupata matokeo mazuri zaidi kwa kuchanganya rangi mbili kuu unazoziona kwenye hizo graphics..
 
Last edited by a moderator:

Just for being curiosity tu profile colour sniping looks like a 1 min task.
Nilitaka ni expand tu knowledge ya colours bro.
Thanks though.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom