Msaada; I'm under weight

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, urefu wa cm 161 na uzito wa kilo 52
nilisikia kuwa uzito unaotakiwa ni (Urefu - 100= uzito stahili) kwangu mimi ni sawa na 161-100=61 hivyo nilitakiwa kuwa na uzito wa kilo 61 badala ya kilo 52 nilizokuwa nazo sasa.
kupitia JF napenda kufahamu haya
  1. Kuna matatizo yoyote ninayoweza kuyapata kwa kuwa na uzito mdogo?
  2. Nafsi yangu inatamani sana kuwa na uzito angalau kilo 61 je nifanyaje? nile vyakula vya aina gani?
Na amini JF hakuna linaloshindikana
karibuni
 
sukari,fat na wanga, viwili vya mwanzo sio poa

hujafika bado,ukiridhika na hatua maisha ulofika utachana tu

usijaribu hii:bia,kitimoto na michemsho
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, urefu wa cm 161 na uzito wa kilo 52
nilisikia kuwa uzito unaotakiwa ni (Urefu - 100= uzito stahili) kwangu mimi ni sawa na 161-100=61 hivyo nilitakiwa kuwa na uzito wa kilo 61 badala ya kilo 52 nilizokuwa nazo sasa.
kupitia JF napenda kufahamu haya
  1. Kuna matatizo yoyote ninayoweza kuyapata kwa kuwa na uzito mdogo?
  2. Nafsi yangu inatamani sana kuwa na uzito angalau kilo 61 je nifanyaje? nile vyakula vya aina gani?
Na amini JF hakuna linaloshindikana
karibuni

Nenda: bestcalculator.org hapo kuna calculator kibao, chagua BMI calculator ingiza data zako na utapewa majibu kama upo normal au la!. kuhusu kuongeza uzito, kula zaidi vyakula vya wanga kama mkate, viazi, chapati na kadharika, usitembeee muda mrefu kwa miguu, zaidi unaweza kuni PM
 
inatosha mdogo wangu,unene siyo deal wala nini.
 
Nenda: bestcalculator.org hapo kuna calculator kibao, chagua BMI calculator ingiza data zako na utapewa majibu kama upo normal au la!. kuhusu kuongeza uzito, kula zaidi vyakula vya wanga kama mkate, viazi, chapati na kadharika, usitembeee muda mrefu kwa miguu, zaidi unaweza kuni PM
Thnx nimecheck inaonekana nipo normal
 
Weka picha yako tukuthaminishe,hapa tutakuchana live kama upo sawa au inabidi uongeze kilo , ila ujue unene sio poa, utajuta siku ukianza nenepa. ingawa sijui wembamba wako ni unaonekana umekonda kama mgonjwa au vipi.
 
Mmmmmmmmmm!!!!!!! ngoja kwanza
 
eeeh....watu tumetofautiana sana....mwenzio nipo kwenye crash diet....jamani anayejua dawa ya kuondoa cellulite na kitambi naomba anisaidie....japo nimedandia treni kwa mbele
 
Cellulitis ni neno la kitaalamu linalotumika kuonyesha uvimbe wa cell.
Cell= cell kama za mwili zinazotengeneza tissues n.k. tis= uvimbe, Kwa mantiki hiyo swali lako bado halijajitosheleza kimaelezo. Ni kama umeeuliza nini dawa ya uvimbe? inaweza kuwa uvimbe unaotokana na kidonda, kugongwa na kitu n.k. Kwa mfano ukikwaruza na kitu kwenye ngozi na baada ya muda pale mahali pakawa na uvimbe kutokana na 'bacteria infection' hapo tutasema kuna cellulitis.

Ikumbukwe kuwa cellulites inasababishwa na infection, uvimbe kama wa miguu unatoka na matatizo ya moyo hautwi cellulitis bali Oedema.
Kwahiyo labda ueleze kwa kifupi cellulitis inayotokana na nini na iko wapi ili kuwe na jibu.

Asije mtu akasema kunywa antibiotics tu, hapana! cellulitis inayosababishwa na bacteria wanaoitwa staphylococcal inatibiwa na dawa tofauti na ile inayotibu Streptococcal

Kitambi ni accumulation of fat, njia ya kuondoa ni mazoezi ili kuchoma hayo mafuta. Kwa nchi za wenzetu hali ikiwa mbaya sana wanafanya operation ya kukwangua mafuta. Pili, ni kuangalia vyakula vinavyoweza kuongeza uzito ikiwa ni pamoja na mafuta na sukari n.k.
 
Back
Top Bottom