msaada IELTS ni nini, na faida zake

Ngunya1

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
406
642
jamani naomba kuuliza pia kueleweshwa hii kitu kuuliza sio ujinga majibu mazuri yata saidia na wengine
 
Dogo Hii Ni mitihani ya English ambayo hutambulika Kimataifa Umahiri/ufahamu wako katika Lugha ya Kiingereza na Hii hutumiwa na Idara za Uhamiaji kwenye hasa kwa nchi zisizotumia Kiingereza kama Lugha ya Kwanza (native). Ili Kupima kama unaweza Kufanya Kazi na Kuishi maisha ya Ughaibuni bila tatizo.

Faida zake ni Kwamba ukiwa nacho cheti hicho unaaminika kuwa Unaifahamu Lugha usipokua nacho utaonekana Mbabaishaji na huwa zina Level/madaraja. Yaani kwa Mataifa ambayo hayaongei Kiingereza ni Ngumu Kuwaaminisha kuwa Unajua kiingereza
 
shukurani sna vp gharama zake vp ni kiasi gni?
 
Back
Top Bottom