Nini sababu baadhi ya mitaa nchini Tanzania kuitwa majina ya Congo?

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,300
1,495
Nimeishi Dar es Salaam kwa muda fulani. Hapo nilisikia majina kama ya Mwanamboka, Lumumba, mtaa wa Congo nk.

Nini sababu hii mitaa kuwa na majina ya Congo?

Kuuliza sio ujinga.
 
Nimeishi Dar es Salaam kwa muda fulani. Hapo nilisikia majina kama ya Mwanamboka, Lumumba, mtaa wa Congo nk..

Nini sababu hii mitaa kuwa na majina ya Congo?.

Kuuliza sio ujinga
Kuuliza ni ujinga,

Ujinga maana yake ni kutokujua jambo ila ukisha lijua hilo jambo basi na ujinga wako unakua umeishia hapo kwenye hilo jambo.
 
Wakongo tz ni second home. Mkongo akija bongo anajisikia yuko home vile vile sie wabongo tukifika Congo wanatujali sana hata imagration hawatuzingui maana wanajua nao tz ni nyumbani.
 
Nimeishi Dar es Salaam kwa muda fulani. Hapo nilisikia majina kama ya Mwanamboka, Lumumba, mtaa wa Congo nk.

Nini sababu hii mitaa kuwa na majina ya Congo?

Kuuliza sio ujinga.
mbona kuna mitaa inaitwa kenyata{kwani sisi wakenya},samora{kwani samora masheli alitawala tz,si ni msumbiji],
 
Back
Top Bottom