Msaada IC ya radio.

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,986
Reaction score
3,151
Wasalaam,

Kama kichwa kinavyojieleza naomba kusaidiwa wapi naweza pata IC ya radio; LA 4496 (JVC radio) kwa dar, mi nipo mkoani but nikipatiwa msaada wa wapi naweza pata ntajua njia ya kuipata.
 
Wasalaam,

Kama kichwa kinavyojieleza naomba kusaidiwa wapi naweza pata IC ya radio; LA 4496 (JVC radio) kwa dar, mi nipo mkoani but nikipatiwa msaada wa wapi naweza pata ntajua njia ya kuipata.
Wauzaji wa spea zote za electronics (solder wire? Transistors, speaker; circuit boards, housing nk) kwa Dar wapo barabara ya Uhuru pale kariakoo, inapokutana na barabara ya Msimbazi. Upande wa kulia kama unaenda Mnazi mmoja, ukiwa kwenye taa za Msimbazi/Uhuru. Kila kitu utapata hapo!
 
Kwanza nikupe pole kama bado umejikalia kiushamba namna hiyo kwa kutumia liredio linalotumia cassette, eti JVC REDIO. huna hata aibu
 
Kwanza nikupe pole kama bado umejikalia kiushamba namna hiyo kwa kutumia liredio linalotumia cassette, eti JVC REDIO. huna hata aibu
Wala usimshambulie. Hata kama ni radio ya cassette si lazima atumue cassette. Atasikiliza stasheni mbalimbali za radio (tuner) na pia anaweza kutumia radio hiyo kama Amplifier. Pole sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…