makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,631
- 109,036
Huyo kifutu huyo.. ni joka fulani ukiliona unaweza kusema jinga, ila likifanya yake ni hatari.Mimi NYoka ninayemuogopa kuachana na hao ma sijui mambas ni kifutu(puff adder) kwa sababu zifuatazo
(1) utulivu,ni NYoka mpole hapendi kushambulia watu hivyo akishiba kama reptile wengine hupendelea kuota jua kusaidia mfumo wa chakula,
Sasa hapa anakaa kwenye njia ambayo watu hupita Ili kuchomwa na jua vizuri na anajikunja vizuri na kufanana na mazingira kiasi Cha ndege na nguchiro kumuona na binadamu pia
(2) usipomuona ukamkanyaga vizuri lazima ata panick na kukung'ata na kukuachia cytotoxic venom ambayo usipowahishwa hospital haraka unaweza kukosa mguu
Black mamba na cobras tumewazoea wakituona wanasepa kwa Kasi ya ajabu unless mfungiane mahali
Unaweza ukalichapa fimbo likakuonya na Mlio tu ila unatakiwa kukaa mbali kidogo maana unakuta limejikunja kama spring!!Huyo kifutu huyo.. ni joka fulani ukiliona unaweza kusema jinga, ila likifanya yake ni hatari.
Ni moja ya nyoka nawaogopa saana, halafu shambani mwangu wapo kedekede.. pale mtaani tushawauwa kama 5,6 hivi, ndani niliuwa vitoto vyake viwili, kisha nikauwa vitoto vya cobra navyo viwili.Unaweza ukalichapa fimbo likakuonya na Mlio tu ila unatakiwa kukaa mbali kidogo maana unakuta limejikunja kama spring!!
Likijiachia Sasa ni faster lishagonga tumbo!
Uzuri halina uwezo wa kurudia kugonga kama mambas
Wala hua siwaogopi coz wengi humu mjini hawana sumuHivi hua huogopi kabisa hawa viumbe ww😳😳😯
Mhhh mhhh mim hapana aisehWala hua siwaogopi coz wengi humu mjini hawana sumu
Haya mkuuMhhh mhhh mim hapana aiseh
Ukiwa unaenda shambani kuwa makini wakati unatembea kuangalia chini,usiku beba tochi yenye mwanga!!Ni moja ya nyoka nawaogopa saana, halafu shambani mwangu wapo kedekede.. pale mtaani tushawauwa kama 5,6 hivi, ndani niliuwa vitoto vyake viwili, kisha nikauwa vitoto vya cobra navyo viwili.
Hongera kwa kuua mkuu,je kwa mfano huyo NYoka alikua anasubiriwa na mayai yake akayaangue vifaranga!Mkuu hongera kwa kumuangamiza mjomba.
Hicho kipindi uwiii, Alf yupo na mwanamke wake uwiiiiiNipo naangalia kipindi cha Snake In The City hapa jamaa hao anawapapasa na mkono kama anachezea fimbo!
Ana hatari huyu!!!
Life cycle lazima ikamilike, kwenye hii dunia ya viumbe hatari ni kuwahiana tu, bora kamuwahi yeye.Hongera kwa kuua mkuu,je kwa mfano huyo NYoka alikua anasubiriwa na mayai yake akayaangue vifaranga!
Hivi kwanini binadamu tunajiona wa maana sana au ni haya mavitabu yanatudanganya🤣
Basi ngoja niishi na watu kwa kutulia manake ukizingua mpaka ukoo wako wote ni nchale!Life cycle lazima ikamilike, kwenye hii dunia ya viumbe hatari ni kuwahiana tu, bora kamuwahi yeye.
naam maisha ndio yapo hivyo hata chifu hananga alisema ukizingua anazingua.Basi ngoja niishi na watu kwa kutulia manake ukizingua mpaka ukoo wako wote ni nchale!
Wanasema samaki mmoko akioza ni wote🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimescroll fasta ili nisimuone huyo nyoka nishindwe kulala usiku mie!
[emoji16][emoji16][emoji16] we acha uongoHuyo ni brown house snake Hana madhara! Mzuri kwa kutunza mazingira ya nyumbani anapendelea panya waharibifu ni harmless yaani non venomous