Msaada: Huwa wamaanisha nini?

a a a siifungui hapa wataiona watu,,,, bora nikajifiche ndani,,,,na mwaka ulikuwa verry perfect kwangu ntafurahi zaidi nikisikia kwako pia ulikufikia bila matatizo....,
mmmhhh mi nilizani utafungulia hapa kila mtu aone hahahah lol
nway vipi lakini mwaka wako umeanzaje???
samahani sana nimechelewa kukujibibu PM yako ..
leo ndo narudi huku kwa wataalum..
mambo yanaendeleaje???
 
a a a siifungui hapa wataiona watu,,,, bora nikajifiche ndani,,,,na mwaka ulikuwa verry perfect kwangu ntafurahi zaidi nikisikia kwako pia ulikufikia bila matatizo....,

hahahahh lol
mie tangu nijiunge na JF mmmhhhh mambo yangu yanaenda vizuri ...
nikipata salamu za hapa na pale na kusikia kila mtu anaendelea vema..
basi najisikia raha...
nikukutana na BI NILHAM ndo raha zaidi...
hahahahhaa lol
 
ooopss!!! ok ahsante,,, mi pia najihisi raha zaidi nijuapo mambo yako yenda sawia,,,alhamdulillah shukri to allah my dear,,, wish you all da best in dis year,,,

Thank you so much sweet heart...

all i have to do is to find me a husband dis year hahahhah lol:whoo:
 
tafuta husband ambae ni mwalimu!
wana maadili ya kumwaga hao!au unasemaje afro?

ai jamani
mmhh mie namtaka muuza maji..
na sababu zangu muhimu sana ..
na reserch hizo za walimu walifanya watu wengine..
mie nishafanya zakwangu kwa kijana wangu wa maji...
na ninazipenda hahahaha lol
 
oooh inshallah kheri my dear utampata tuu na mie ntakutaftatia kazi kwako kumlea tuu... lakini naamini malezi wayajua ipasavyo,,,
Thank you so much sweet heart...

all i have to do is to find me a husband dis year hahahhah lol:whoo:
 
oooh inshallah kheri my dear utampata tuu na mie ntakutaftatia kazi kwako kumlea tuu... lakini naamini malezi wayajua ipasavyo,,,

mmmmhhhh bibie muda wote huu nilikuwa najifunza jinsi ya kumtunza huyo mume
na kumpa ambavyo hata hakufikiria kupata...
ili akiingia kwangu hatoki ......
hahah lol
 
Chapa Ilale = Chapa, Ilie, Itoe machozi, Ilale (hayo maneno bold yanakuwa skipped)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom