Sio huoKwa wale wasioufahamu ni huu.
Rond point albam ya mwaka 1999, kwenye huo wimbo hatukaniKuna huu wimbo wa huyu Gwiji wa miondoko ya sukus, ambaye amejipachika majina lukuki, mara sijui Mopao Mokonzi, Sakozi n.k....huu wimbo nimeusikia ukichezwa jana kwenye Bar moja wakati tunafuatilia mechi ya Simba na Vita,..baadhi ya mashairi husikika kama matusi akitamka "coomer inauma..coomer inauma",.
Ningetamani sana wajuzi wa mambo ya kilingala waniambie ni maneno gani haswa hutamkwa pale, na kama ni kiswahili ni ndicho haswa alichomaanisha Gwiji huyu?View attachment 1047397
Kabisa Mkuu, huu wimbo hau sound poa kabisa...yaani mkiwa familia mnaangalia chini.BASATA wako wapi, Kofi Olomide anatukana wanamwangalia tu?
Duh, hata mimi mwanzo nilidhani wanaimba matusi, kumbe sio.Ni dirty mind tu.
Sikiliza vizuri hapa kwenye live concert anatamka "imaima uma..imaima uma"
Children.Ni wimbo wa zamani sana since we were childs,bu t I don't know its tittle
Sent using Jamii Forums mobile app