Msaada Huawei Y530 unlocking code

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,118
2,000
Ninatumia NCK dongle lakini humu haimo kwa anayefahamu please
IMEI 869563015749960 (HUAWEI ASCEND Y530)
 

CalvinPower

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
1,549
2,000
mkuuu mbona tunakutumia sms kimyaa.
mm nimekutumia imei number toka asubuhii but mpaka now kimyaaa
nimepata imei number na codes zipo tayari. ila malipo sijapata. lipia malipo mkuu nikutumie codes fasta
 
Nov 9, 2014
20
0
hapo unaunlock ili kutumia lain zote, mi nna hyo hyo y530 inatumia lain zote ila n telstra branded nataka kuiroot cjui procedure anayejua anambie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom