msaada wakuu hii simu ilikuwa inadownload vizuri tu but tatizo limeanza baada ya kui restore sasa hivi inakubali kudownload apps peke yake vitu vingine inakataa
Wadau mimi ya kwangu inagoma hata kushare picture WhasApp na kudownload music na mafile mengine hasa kupitia Opera mini. Na nimejaribu kufuata ushauri alopewa mwenzangj bt tatizo lime endelea kuwepo.
Mkuu Activister kumbuka kila unapotuma
whatsapp huwa kuna copies zinabaki ktk
simu yako,jaribu kwenda kufuta huko kwenye
hizo files halafu uone kama mambo yanakuwa
vema ndg
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.