Msaada wakuu nina HTC chacha A810e imezimika baada ya kudownload new version ya facebook ya android nimejaribu kutoa bettery nakurudisha imegoma kabisa lakini taa ya charge inawaka nikichomeka kwenye charge mwenye utaalamu ya haya mambo anisaidia kwa mawazo au mahali ambapo naweza kupata msaada wa kuirejesha simu hii on amasijui ndio imekorapte au ndio imeungua sijui mwenye ujuzi anijuze au anielekeze mahali ambapo nitapata msaada hapa Dar.
Kabla ya kutafuta fundi soma au pakua manual yake na ujaribu kufanya Soft na hard reset .
Unaweza cheki hapa NB
kama ina SD memory card itoe weka pembeni kabla ya reset.Maana reset ni restoring to how it was from Manufacturer.So inaweza futa kila kitu kwenye memory na apps nyingine ulizoongeza
HTC ikiisha charge kabisa!!... haiwaki hadi ifike kiasi fulani..! utaina inawaka taa nyekundu uki charge subiri hadi ifike orange nadhani.. au iweke kwenye charge for 20 min then washa tena