Habari za kazi wanaJF,
ninaomba msaada wenu tafadhali,
nina rafiki yangu tulisoma naye mwanzoni mwa 2000 huko Kenya. sasa ananiomba kama naweza kumtafutia hoteli nzuri huko Dar for his honeymoon this december.
Somewhere along the beach na if possible kama ina honeymoon suite..!
KWa sasa niko Moshi..nimeshatangulia kuhesabiwa..lol!
Nauliza kama kuna mtu mwenye idea anijibu tafadhali...
at least jina la hoteli na cost zake kwa bei yetu, tafadhali.
Natanguliza shukrani.
duh nilham mashaalah mtoto wa kiarabu bila shaka,karib sana jamvin jana niliona umepiga hodi twakukaribisha sanami sizijui za huko tz..hebu tungojee nikipata na mie nahitaji nikija nifkizie hotel za huko,
duh nilham mashaalah mtoto wa kiarabu bila shaka,karib sana jamvin jana niliona umepiga hodi twakukaribisha sana
shukran nshakaribia mambo ya humu mazur lakini,,inshallah kheyr tutapata kujua mengi
ingekuwa vyema kama ww ungeweza kusema wanataka hotel ya sh ngapi?maana hotel ni ngingi sema pesa yako tu,pia ni bora ukitaja gharma tukikupa feed back tukupe na no za sim kabisa mana Dec wageni ni wengi its bet kufanya reservation kabisa
Mentor,
Hotel zote zilizopo "along the beach" malipo yake ni kwa "USD" kwahiyo kama unataka kulipia kwa "pesa ya kwetu" unaweza kupata sehemu safi tu lakini sio along the beach! Kwa maadalizi tu unaweza kutenga around "USD 250-300" per night kama utapenda kukaa kwenye "hotel zinazotizamana na bahari ya Hindi.
Kama unahafiki naweza kukupa Contact zao.
Otherwise, unaweza kwenda Zanzibar, and it may be much cheaper for the same "environment"
Ukija dasalama mie nitakuwa mwenyeji wako.
ntakutafuta inshallah na ikikaribia safari ntakujulisha mi sina tabu!!
duh nilham mashaalah mtoto wa kiarabu bila shaka,karib sana jamvin jana niliona umepiga hodi twakukaribisha sana
We ndenda google serch for hotel in dar utapata kila kitu contact, cost nk acha kusumbuka siku hizi hatutafuti vitu manually bwana tunatafuta electornicaly au sio gonga google you will get everything you want