Msaada: Honeymoon..

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,329
23,874
Habari za kazi wanaJF,
ninaomba msaada wenu tafadhali,
nina rafiki yangu tulisoma naye mwanzoni mwa 2000 huko Kenya. sasa ananiomba kama naweza kumtafutia hoteli nzuri huko Dar for his honeymoon this december.
Somewhere along the beach na if possible kama ina honeymoon suite..!
KWa sasa niko Moshi..nimeshatangulia kuhesabiwa..lol!
Nauliza kama kuna mtu mwenye idea anijibu tafadhali...
at least jina la hoteli na cost zake kwa bei yetu, tafadhali.
Natanguliza shukrani.
 
mi sizijui za huko tz..hebu tungojee nikipata na mie nahitaji nikija nifkizie hotel za huko,
Habari za kazi wanaJF,
ninaomba msaada wenu tafadhali,
nina rafiki yangu tulisoma naye mwanzoni mwa 2000 huko Kenya. sasa ananiomba kama naweza kumtafutia hoteli nzuri huko Dar for his honeymoon this december.
Somewhere along the beach na if possible kama ina honeymoon suite..!
KWa sasa niko Moshi..nimeshatangulia kuhesabiwa..lol!
Nauliza kama kuna mtu mwenye idea anijibu tafadhali...
at least jina la hoteli na cost zake kwa bei yetu, tafadhali.
Natanguliza shukrani.
 
ingekuwa vyema kama ww ungeweza kusema wanataka hotel ya sh ngapi?maana hotel ni ngingi sema pesa yako tu,pia ni bora ukitaja gharma tukikupa feed back tukupe na no za sim kabisa mana Dec wageni ni wengi its bet kufanya reservation kabisa
 
Mentor,

Hotel zote zilizopo "along the beach" malipo yake ni kwa "USD" kwahiyo kama unataka kulipia kwa "pesa ya kwetu" unaweza kupata sehemu safi tu lakini sio along the beach! Kwa maadalizi tu unaweza kutenga around "USD 250-300" per night kama utapenda kukaa kwenye "hotel zinazotizamana na bahari ya Hindi.

Kama unahafiki naweza kukupa Contact zao.

Otherwise, unaweza kwenda Zanzibar, and it may be much cheaper for the same "environment"
 
Mwambie aende Mafia Island kuna hotel nzuri ambazo zipo along the beach na pwani yao ni nzuri and still virgin. Aende Butiama Lodhe (Maura 0784575720), au Mafia Lodge (0786303042) or Kinasi Lodge. Watafurahi wakifika Mafia.
 
ingekuwa vyema kama ww ungeweza kusema wanataka hotel ya sh ngapi?maana hotel ni ngingi sema pesa yako tu,pia ni bora ukitaja gharma tukikupa feed back tukupe na no za sim kabisa mana Dec wageni ni wengi its bet kufanya reservation kabisa

Ooh..tuseme kitu kama 50,000-120,000 tshs.
Aliniambia nifanye hivi:
- Kama ninaweza kupata hotel karibu na beach yenye honeymoon suite within that range
OR
- hoteli yoyote karibu na beach, ata kama haina honeymoon suite but within that range
OR (if worse gets to worse)
- hoteli yeyote dar within that range, (kama ina honeymoon suite more preferably) kama haina..iwe nzuri tu..sehemu tulivu for newly weds to spend their time and enjoy!!!!
 
We ndenda google serch for hotel in dar utapata kila kitu contact, cost nk acha kusumbuka siku hizi hatutafuti vitu manually bwana tunatafuta electornicaly au sio gonga google you will get everything you want
 
Mentor,

Hotel zote zilizopo "along the beach" malipo yake ni kwa "USD" kwahiyo kama unataka kulipia kwa "pesa ya kwetu" unaweza kupata sehemu safi tu lakini sio along the beach! Kwa maadalizi tu unaweza kutenga around "USD 250-300" per night kama utapenda kukaa kwenye "hotel zinazotizamana na bahari ya Hindi.

Kama unahafiki naweza kukupa Contact zao.

Otherwise, unaweza kwenda Zanzibar, and it may be much cheaper for the same "environment"

Ati wat!?? exchange rate yetu bado ni 1us$-1187Tshs!??
Na Z'bar roughly inaweza kuwa how much?
au basi nipe walau contacts za hoteli nyingine swafi tu jus in Dar sehemu tulivu...
 
Kama anaweza aingie kwenye mtandao atafute honeymoon suite dar es salaam hotels atazipata kwa jinsi anavyohitaji na bei zake ziko pale
 
duh nilham mashaalah mtoto wa kiarabu bila shaka,karib sana jamvin jana niliona umepiga hodi twakukaribisha sana

za asubuhi mama, mbona umepotea au ndio mambo ya kuhesbiwa huko kilima kyaro
 
We ndenda google serch for hotel in dar utapata kila kitu contact, cost nk acha kusumbuka siku hizi hatutafuti vitu manually bwana tunatafuta electornicaly au sio gonga google you will get everything you want

Dena..google inakupa za kuanzia 350 USD boss!!
alafu pia..kwa wale walioko huko ts easier kujua kama kweli ni nzuri ama google images zinatuziga tu! Ni msaada tu tafadhali..

* Ingekuwa ni yangu..mimi wala sikanyagi Dar....mimi huyoooo Matema beach...!!!!clean, good weather, kukimya!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom