Wakuu kuna program zimejiInstall zenyewe kwenye PC hivyo kila nikiwasha mashine
zinaniletea meseji kama nilivyoonesha kwenye screen shot vipi hili si tatizo?
hizo mbili zilizojitenga MYPC BACKUP na hiyo SYNC FOLDER.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.