bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,209
- 308
Naomba mnijuze kuna dawa iko kwenye shelly iko katika mistari minne kila mstari una vidonge saba, pia kila mstari mmoja unarangi moja, ugoro na cleam na kuna mishare inaonyesha jinsi ya kutumia unaanza na mstari wa kwanza na unageuka na wa pili hadi yote.
Sikuwepo nimerudi nimekuta mke wangu anavitumia, sijamuuliza kwa sababu amevitunza kwa kuficha naona kila siku kinapungua kidonge kimoja.
Kwa anayevijua anisaidie ni vya nini?
Sikuwepo nimerudi nimekuta mke wangu anavitumia, sijamuuliza kwa sababu amevitunza kwa kuficha naona kila siku kinapungua kidonge kimoja.
Kwa anayevijua anisaidie ni vya nini?