Msaada: Hivi ni vidonge gani?

Sina chakusema ilakama nikweli nividonge vya Arv basa nakupa pole maana mawazouliyonayo kwasasa siyomazuli
 
Sampuli ya brown ni ARV ila wewe hujaathirika Mungu mkubwa tena inaonesha wewe ni mwaminifu kwa ndoa yako
Kapime tu kupata uhakika.
 
Naomba majibu yasiwe hayo naweza anguka kwa presha
Wala usianguke kwa pressure kwa kuwa hizo arv zina kazi 2: Kwanza ni kuzuia HIV wasizaliene mwilini na pili ni kuzuia mtumiaji asiambukize wengine. Hili la kuambukiza linatokana na ukweli kuwa arv zina tabia ya kufanya virusi viwe 'inactive', hivyo havina movement toka mtu mmoja kwenda mwingine, ingawa sio 100%
 
Your pic is not clear sijui kama utasaidika,ungejaribu kupata kasha iliyobeba vidonge ingekua poa.
 
Your pic is not clear sijui kama utasaidika,ungejaribu kupata kasha iliyobeba vidonge ingekua poa.
Kasha nimejataidi kutafuta sijapata na hyo pic nimepga bila flashlight maana ukipga na flash haionekan kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…