Msaada: Hivi ni vidonge gani?

kama umepekua pochi ya mpenzi wako ukakuta hizo vidonge na kama wewe huwa hutumii kinga bhas ni vema kuanza kula matunda kwa wingi, fanya mazoez kias,pumzisha mwili wako, epuka ngono bila kinga, mboga za majan tumia kwa sana, epuka kuwa na msongo wa mawazo nk... itasaidia kuongeza salio lako la miaka ya kuwa dunian mkuu
mmmmhhhhhh!!!!!
 
Ohooooo!!!
 
Umenifanya niingie Google.. Wanioneshe ARV. Hizo ndizo picha nilizokutana nazo
ec07de29ba0c2402726761ab2b8fd070.jpg
 
Vya HIV ndo vp apo
Huku JF unaweza kupata majibu mengi lakini hutapata jibu la uhakika. Ushauri wangu ni kwamba angalia jina lililoandikwa juu ya dawa kisha google kuuliza dawa hizo ni maalumu kwa kutibu ugonjwa gani? Huko utapata majibu sahihi ! Jibu lolote lisikufanya upoteze utulivu wako! Always use akili in the best way!
 
Ivo vidonge hutumika kutibu Homa ya Ini bhana..
Wasikutishe bhana..
 
Hilo dude ulilibeba mwezi ulipoandama nini? Ndio madhara ya kukamia na kuuza match hayo,majanga hayo madonge nu Yale wanagawa bure naamini umeelewa madonge gani wanagawa bure
 
Kwanza Suala linalo husiana na vidonge jibu lipo kwa madoctor. Nenda kwa doctor yeyote mweleze maana tutakuchanganya kaka.
 
First of all... Don't panic Mr........ Viangalie Vizuriiiii.... Zen Kama ukikuta ni vya Aina mbil tofauti ila vyafanana Mwonekano wa maumbo yaweza Kuwa vyenyew vya HIV positive.... Hapo pia ucpanik..... Mana kutembea na mtu Mwenye HIV c Kuwa naww ndo Umepata. My take Nenda angaza pata ushauri zen pima huwez Jua Mungu anataka akuepushe Vp.... Cha msingi don't panic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom