Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,291
- 900
HahaaSamahani mkuu hicho ni kiganja au unyayo?
HahaaSamahani mkuu hicho ni kiganja au unyayo?
Alafu weweSamahani mkuu hicho ni kiganja au unyayo?

Alafu wewe![]()
AsanteWenye hepatitis nao humeza arv pia..
Sio wote wana vvu.
Ni vizuri kwenda pia kucheki afya yako dia PRINCE PRIS.
Mkuu kausha bhanaSawa,endelea na dozi!
Wala usianguke kwa pressure kwa kuwa hizo arv zina kazi 2: Kwanza ni kuzuia HIV wasizaliene mwilini na pili ni kuzuia mtumiaji asiambukize wengine. Hili la kuambukiza linatokana na ukweli kuwa arv zina tabia ya kufanya virusi viwe 'inactive', hivyo havina movement toka mtu mmoja kwenda mwingine, ingawa sio 100%Naomba majibu yasiwe hayo naweza anguka kwa presha
Pole sana mkuu...Halijaandikwa nimevikuta vimefungwa kwenye karatasi nahic kama n arv
Anza kuandika tu urithi aiseeeeeNaomba majibu yasiwe hayo naweza anguka kwa presha
Tumesha kupoteza aiseeeeee....Cjaweza kumuuliza ndo maana nkauliza uku kwanza

Mkuu kausha bhana
Ule ugonjwa ukimcheka mtu unamongezea maumivu na kumpa stress afe mapema
Kasha nimejataidi kutafuta sijapata na hyo pic nimepga bila flashlight maana ukipga na flash haionekan kabisaYour pic is not clear sijui kama utasaidika,ungejaribu kupata kasha iliyobeba vidonge ingekua poa.