Msaada: Hivi ni vidonge gani?

Zinafanana na hizi? Maana hizi nimegoogle ni ARV
 
Wenye hepatitis nao humeza arv pia..
Sio wote wana vvu.
Ni vizuri kwenda pia kucheki afya yako dia PRINCE PRIS.
 
Finyango,
Some inaonekana wanapona wakimeza izo arv kwa miezi sita hadi mwaka.
Ila wengine haipotei hata wakiangaliwa baada ya huo muda.
Dawa halisi haijapatikana bado kitabibu.
 
Finyango,
Some inaonekana wanapona wakimeza izo arv kwa miezi sita hadi mwaka.
Ila wengine haipotei hata wakiangaliwa baada ya huo muda.
Dawa halisi haijapatikana bado kitabibu.
Upo sawa kabsa boss bado mbadara wa arv haujapatkana hasa TLE lakini jamaa asikate tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…