MSAADA: Hivi mbinguni kuna kuoa na kuolewa?

Unajua samutaimu wapenzi wa duniani wanachanganya sana mpaka inafikia hatua unaona ni vizuri kutokuoa kabisa

Na pengine unakuta umezaliwa anithi( huna huwezo wa wa kuwa na mke na ukafanya naye tendo takatifu la ndoa) au ulipata ajali ukawa umepata matizo ya uzazi.

Yawezekana umeachika kwenye ndoa nyingi kisa hjna uwezo wa kushika mimba na kupata mtoto.

Hivi ikitokea nikaacha kuoa hapa duniani je huko mbinguni (kwa wengine peponi) au baada ya kiama kuna uwezekano wa kuoa tena?

Nisaidieni ili nifanye maamuzi.

ASANTENI
Kuna mabikira 70 wa bure unajichana. hakuna kulipa mahari
 
Sote hatujui tuko Duniani ila unatuuliza maswali ya Mbinguni, hatujui ebu subiri ufe uende ukaulize wenzio hukohuko Mbinguni!
 
Matthew 22:30
For in the resurrection they neither marry nor are given in marriage, but are like angels in heaven.; ipo mingine 100 kama hii.

Mkuu umefanya quotation lakin hujamjibu swali lake!
"For in the resurrection" kwanza lazma tujue hii RESURRECTION ni nini?
Maana ya Resurrection
the event told about in the Bible in which dead people will be brought back to life before the day of final judgment.
Sasa Baada ya final judgement kuna maisha gani?
Tafuta kisha mjibu jamaa
 
Kwani tutakaa mbinguni siku zote mkuu?
Si dunia itabwa upya tena?
Mzee hili swali umemaanisha kweli?niambie ni wapi umefanikiwa kumuona babu wa babu wa babu yake babu yako au yeyote ktk wanaokuzunguka ameshawahi kumuona muanzilishi wa kizazi chake?

Ukishashuka hapo chini hakuna tena muda utaamka kurudi duniani weka hili akilini mwako.
 
Nasikia kuna mgao wa mabikra 70 kwa kila mwanaume
Longolongo tu hizo mkuu,hilo haliwezekani yaani kila mwanaume apewe mabikra 70 si kutakuwa na miguno ya mahaba mbingu nzima mpaka Mungu akose utulivu wa kuamua mambo mengine ya msingi?maaana vidume muda wote vitakuwa vinajikunja ili kuwaridhisha wake zao.

Pata picha wabongo wanavyopenda ngono then ndo ameshakabidhiwa bikra zake sabini hiyo mbingu itakalika kweli?si kila saa atataka kuinua pump sasa si balaa hilo?

Anaeamini hivi anapoteza mda wake tu.
 
Haswaa...swali langu umelielewa vizuri mkuu...
Mkuu umefanya quotation lakin hujamjibu swali lake!
"For in the resurrection" kwanza lazma tujue hii RESURRECTION ni nini?
Maana ya Resurrection
the event told about in the Bible in which dead people will be brought back to life before the day of final judgment.
Sasa Baada ya final judgement kuna maisha gani?
Tafuta kisha mjibu jamaa
 
Longolongo tu hizo mkuu,hilo haliwezekani yaani kila mwanaume apewe mabikra 70 si kutakuwa na miguno ya mahaba mbingu nzima mpaka Mungu akose utulivu wa kuamua mambo mengine ya msingi?

Pata picha wabongo wanavyopenda ngono then ndo ameshakabidhiwa bikra zake sabini hiyo mbingu itakalika kweli?maana kila saa atataka kuinua pump sasa si balaa hilo?

Anaemini hivi anapoteza mda wake tu.
Imani hizo mkuu...
 
kwa mujibu wa imani yangu kwamba yeyote atakaeishi hapa duniani kwa kutenda mema,kuepuka maovu na kufuata maelekezo yote ya Mungu muumbaji basi mtu huyo ujira wake ni kuingizwa peponi siku hiyo ya kiama.Huko peponi inategemea na kiwango chako cha uchamungu ulicokitenda hapa Duniani.Suala la kuabudu huko halitokuwepo,huko ni starehe mwanzo mwisho.Na ili kukabiliana na starehe hizo Mungu muumbaji atakurudisha/kukupandisha kuwa na umri wa miaka 20 mpk 25 hivi hakuna kuzeeka wala KUFA ni maisha ya milele. Na kubwa kuliko zote wewe kama ni wa kiume kwa idadi ya chini kabisa utaozeshwa warembo mabikra maalum 70 wanawake ambao uzuri wao ni Mungu pekee anaejua....kiufupi ni kwamba uzuri wao hauelezeki na hawazoeleki pia "TWAHARA" yan wako safi muda wote na huko wewe utatumikiwa kama mfalme lakini pia Mungu atakupa uwezo wa pekee kuwakabili hao wanawake.Starehe zitakuwa nyingi mno ila kwa upande wa kuoa kiufupi ndo hivyo.Hii ni kwa mujibu wa dini yangu ya kiislamu...........kama huyaamini haya hulazimishwi kuyaamini ila USISAHAU TU KWAMBA MOJA YA SHARTI LA KUINGIA PEPONI NI LAZIMA UAMINI...uamini aliyokuja nayo Adam mpk mtume wa mwisho ambaye ni Muhammad s.a.w.
 
Longolongo tu hizo mkuu,hilo haliwezekani yaani kila mwanaume apewe mabikra 70 si kutakuwa na miguno ya mahaba mbingu nzima mpaka Mungu akose utulivu wa kuamua mambo mengine ya msingi?maaana vidume muda wote vitakuwa vinajikunja ili kuwaridhisha wake zao.

Pata picha wabongo wanavyopenda ngono then ndo ameshakabidhiwa bikra zake sabini hiyo mbingu itakalika kweli?maana kila saa atataka kuinua pump sasa si balaa hilo?

Anaeamini hivi anapoteza mda wake tu.
Nimecheka sana kiongozi!!!
 
Kuna jamaa wamedanganywa kua watapewa kila mtu mabikra 70 huko peponi

Sijui kwa upande wa wanawake wao wame haidiwa kupewa nini huko
 
kwa mujibu wa imani yangu kwamba yeyote atakaeishi hapa duniani kwa kutenda mema,kuepuka maovu na kufuata maelekezo yote ya Mungu muumbaji basi mtu huyo ujira wake ni kuingizwa peponi siku hiyo ya kiama.Huko peponi inategemea na kiwango chako cha uchamungu ulicokitenda hapa Duniani.Suala la kuabudu huko halitokuwepo,huko ni starehe mwanzo mwisho.Na ili kukabiliana na starehe hizo Mungu muumbaji atakurudisha/kukupandisha kuwa na umri wa miaka 20 mpk 25 hivi hakuna kuzeeka wala KUFA ni maisha ya milele. Na kubwa kuliko zote wewe kama ni wa kiume kwa idadi ya chini kabisa utaozeshwa warembo mabikra maalum 70 wanawake ambao uzuri wao ni Mungu pekee anaejua....kiufupi ni kwamba uzuri wao hauelezeki na hawazoeleki pia "TWAHARA" yan wako safi muda wote na huko wewe utatumikiwa kama mfalme lakini pia Mungu atakupa uwezo wa pekee kuwakabili hao wanawake.Starehe zitakuwa nyingi mno ila kwa upande wa kuoa kiufupi ndo hivyo.Hii ni kwa mujibu wa dini yangu ya kiislamu...........kama huyaamini haya hulazimishwi kuyaamini ila USISAHAU TU KWAMBA MOJA YA SHARTI LA KUINGIA PEPONI NI LAZIMA UAMINI...uamini aliyokuja nayo Adam mpk mtume wa mwisho ambaye ni Muhammad s.a.w.
Mbongo umuahidi papuchi,anakuwa lofa kabisa
 
Unapewa nguvu 100 za kugegeda mizigo 40, jamani mbinguni kuna mizigo nyie tendeni mema tu in "Kipoozeo voice"
 
Back
Top Bottom