MSAADA: Hivi mbinguni kuna kuoa na kuolewa?

MSAADA: Hivi mbinguni kuna kuoa na kuolewa?

Unapewa nguvu 100 za kugegeda mizigo 40, jamani mbinguni kuna mizigo nyie tendeni mema tu in "Kipoozeo voice"
Hii hoja iko katika misingi ya kibaguzi haijasimama kwenye haki uyu kipozeo anataka kutuaminisha kwamba wanawake hawana haki huko peponi au hawaruhusiwi kwenda? je nao watagegedwa nakina nani wakati nyie wanaume mtapewa wanawake 40 wa huko peponi siyo hawa wakina ashura ambao nao mtaenda nao huko
 
Uzi za makhanithi MODShawazifungi
Tukitoa sie Nyuzi za maana Mods wanakuja kama mbu mida ya magharibi
Uzi zingine nikutaftiana Ban,
Lakn Mods napenda na sie tutoe ushauri,ni kwamba tusipende kujaza SERVER za JF kwa UZI kama hizi
Ati hivi mbinguni kuna kuoa au kuolewa
Jaribuni kujielewa sumtime.hawa mashoga wanaidhalilisha JF
 
Kwani tutakaa mbinguni siku zote mkuu?
Si dunia itabwa upya tena?

We marinda yako hayo ulishayagawa sadaka.dume zima lkn laana za wazazi umekuwa Pilau,
Hapa ni moto tu,duniani tuwache ya mbinguni wala ya mwezini
Naimani saa hii hata ukijamba unaumia
 
Unajua samutaimu wapenzi wa duniani wanachanganya sana mpaka inafikia hatua unaona ni vizuri kutokuoa kabisa

Na pengine unakuta umezaliwa anithi( huna huwezo wa wa kuwa na mke na ukafanya naye tendo takatifu la ndoa) au ulipata ajali ukawa umepata matizo ya uzazi.

Yawezekana umeachika kwenye ndoa nyingi kisa hjna uwezo wa kushika mimba na kupata mtoto.

Hivi ikitokea nikaacha kuoa hapa duniani je huko mbinguni (kwa wengine peponi) au baada ya kiama kuna uwezekano wa kuoa tena?

Nisaidieni ili nifanye maamuzi.

ASANTENI

kajinyonge ukisha kufa utatuambia kama ulioa huko ukipata nichagulie mmoja bomba
 
Longolongo tu hizo mkuu,hilo haliwezekani yaani kila mwanaume apewe mabikra 70 si kutakuwa na miguno ya mahaba mbingu nzima mpaka Mungu akose utulivu wa kuamua mambo mengine ya msingi?maaana vidume muda wote vitakuwa vinajikunja ili kuwaridhisha wake zao.

Pata picha wabongo wanavyopenda ngono then ndo ameshakabidhiwa bikra zake sabini hiyo mbingu itakalika kweli?maana kila saa atataka kuinua pump sasa si balaa hilo?

Anaeamini hivi anapoteza mda wake tu.
By the way hao bikira 70 utaweza kuwaridhisha wote? Au Mchuzi wa Pweza utakua unapatikana pia na huko.
 
Kama mbingun tu kuna bia za kila aina cha kusikitisha hazilewez asa
 
Mbinguni kuna roho tu... hakuna miili hii yenye papuchi na dushe! It means hakuna mwanamke wala mwanamume!... hivi vifaa vyako vitumie vema hapa hapa
 
Biblia inasema hilo halipo mkuu, sijui vitabu vingine vinasema vipi
Kile kitabu ambacho maandishi huanzia kulia kwenda kushoto husema kwamba wanaume washika kitabu hicho watapewa mabikra 72 huko! Wanawake walioko duniani sasa wao imekula kwao maana hakuna mwongozo kwa ajili yao huko akhera!
 
Wapo mabikira 70 mkuu. Tenda wema duniani, mbinguni ni kula bata tu.
Hivi Hanithi atapewa nini? Kama hapa duniani dushe limegoma kuweka gia vipi huko mbinguni akipewa hao 70 atawafanyaje??
 
Hivi Hanithi atapewa nini? Kama hapa duniani dushe limegoma kuweka gia vipi huko mbinguni akipewa hao 70 atawafanyaje??
Mungu atamponya. Akifika huko mnara full 6G
 
Back
Top Bottom