Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Unajua samutaimu wapenzi wa duniani wanachanganya sana mpaka inafikia hatua unaona ni vizuri kutokuoa kabisa
Na pengine unakuta umezaliwa anithi( huna huwezo wa wa kuwa na mke na ukafanya naye tendo takatifu la ndoa) au ulipata ajali ukawa umepata matizo ya uzazi.
Yawezekana umeachika kwenye ndoa nyingi kisa hjna uwezo wa kushika mimba na kupata mtoto.
Hivi ikitokea nikaacha kuoa hapa duniani je huko mbinguni (kwa wengine peponi) au baada ya kiama kuna uwezekano wa kuoa tena?
Nisaidieni ili nifanye maamuzi.
ASANTENI