Msaada: Hivi kibox cheusi ni cha nini katika ndege

Msaada: Hivi kibox cheusi ni cha nini katika ndege

Nahisi ndegezetu fastjet na presitio hazina hicho kifaa.

Lazima kiwepo mkuu kwani uzuri wa usafiri wa anga ni kuwa unafata sana sheria za anga za kitaifa na kimataifa.....hivyo they must abide the rules and regulations.
 
Nahisi ndegezetu fastjet na presitio hazina hicho kifaa.

I see. Kwa hiyo black box za fastjet au precision air zinawekwa na watanzania? Try to reason kidogo kiongozi..!
 
Back
Top Bottom