Msaada: Hivi kibox cheusi ni cha nini katika ndege

Ajari ya ndege ikitokea Tanzania,hakuna mitambo na watalaam wa kusoma hiyo black box,inapelekwa USA,halafu majibu kutumwa bongo...
 
Ukishapoteza maisha wewe sio kitu tena bali umerudi mavumbini.
Sawa ila kati ya kibox na maiti ya nduguyo kipi bora tena wakati mwingine maiti labda imekilalia kibox hicho
 
Wakuu katika kitu kinacho nichanganyaga na kunifanya niwe na maswali mengi ni kuhusu hiki kidude kitwacho box nyeusi
Kwakweli mawazo yangu huenda mbali na kuanza kuwaza mambo ya kishirikina kuwa labda ni hirizi za wazungu au kinakuwa na roho za watu maana pindi ndege ikipinduka watu wapo maradhi kupoteza ma milioni ya fedha za madafu mpaka kipatikane
Je hiki ni kidude cha nini na kwanini watu wasitafute mabaki ya watu bali hukitafuta hiki kitu ...

scatter

Black box ni jina la kifaa cha kiusalama katika ndege,hakina langi nyeusi kama kinavyoitwa bali kina rangi ya chungwa (orange). Kifaa hiki kina rangi ya chungwa ili kiweze kuonekana kirahisi pale ndege inapopata ajali na kuvunjika.

Ndege za abilia ni lazime ziwe na black box mbili.
Moja inaitwa (cockpit voice recorder)- hii kazi yake ni kurekodi sauti yeyote inayojitokeza ndani ya cockpit. Kuanzia mawasiliano ya pilots na control tower, mazungumzo ya pilots wenyewe, na milio yeyote ya vifaa ndani ya cockpit
Nyingine inaitwa (flight data recorder) – hii kazi yake ni ku record vifaa na mwenendo wa ndege kama,speed, altitude, flight level, engine performance, flight angle, na plane tilt.
Ndege za kijeshi hazina voice recorder,na si lazima kuwa na hata data recorder ingawa karibu zote zina flight data recorder.
 
black box ufungwa sehemu ya mkiani ya ndege cause its last part to get impact with ground
 
Sawa ila kati ya kibox na maiti ya nduguyo kipi bora tena wakati mwingine maiti labda imekilalia kibox hicho

Umuhimu wa black box c kuokoa maiti bali i nasaidia watafiti kujua chanzo cha ajali ili kutafuta ufumbuzi wa chanzo cha ajali na kutafuta njia mbadala wa kuzuia ajali zijazo.
 
Inafurahisha kwamba JF kuna wataalam wenye information ambazo ni credible and timely. Ninaanza kuamini kuwa sio wote ni wajuzi wa matusi!
 
kiboksi chenyewe ni cha orange...black box zamani. kazi yake ni kuhifadhi mwenendo mzima wa ndege ikiwemo maongezi baina ya marubani, kwahio ajali ilkitokea wakikipata hiki ni rahisi kujua chanzo cha ajali....pia kinawekewa kifaa[transponder] ambacho kinatoa signal kuashiria kipo wapi ili iwe rahisi kukipata.

Kwann hizo taarifa za mwenendo wa ndege zisije direct wanakoongoza ndege badala ya kutegemea black box ambyo inapotea baada ya ajali?
 
imagine from dar-zurich or dubai-london ndege zooote duniani zilizoangani kila moja kutuma taarifa zake kila sekunde kwa waongoza ndege....watakuwa busy!! ni rahisi kila ndege ikihifadhi data zake
 
Black box ni jina la kifaa cha kiusalama katika ndege,hakina langi nyeusi kama kinavyoitwa bali kina rangi ya chungwa (orange). Kifaa hiki kina rangi ya chungwa ili kiweze kuonekana kirahisi pale ndege inapopata ajali na kuvunjika.

Ndege za abilia ni lazime ziwe na black box mbili.
Moja inaitwa (cockpit voice recorder)- hii kazi yake ni kurekodi sauti yeyote inayojitokeza ndani ya cockpit. Kuanzia mawasiliano ya pilots na control tower, mazungumzo ya pilots wenyewe, na milio yeyote ya vifaa ndani ya cockpit
Nyingine inaitwa (flight data recorder) – hii kazi yake ni ku record vifaa na mwenendo wa ndege kama,speed, altitude, flight level, engine performance, flight angle, na plane tilt.
Ndege za kijeshi hazina voice recorder,na si lazima kuwa na hata data recorder ingawa karibu zote zina flight data recorder.
Sasa mkuu mbona tuna ambiwa ni cheusi?
 
Umuhimu wa black box c kuokoa maiti bali i nasaidia watafiti kujua chanzo cha ajali ili kutafuta ufumbuzi wa chanzo cha ajali na kutafuta njia mbadala wa kuzuia ajali zijazo.
Ajali nyingi zimetokea lakini hawajaweza kuzuia sema kuna uchawi mule labda kwakuwa hatujui tu mkuu
 
Kwann hizo taarifa za mwenendo wa ndege zisije direct wanakoongoza ndege badala ya kutegemea black box ambyo inapotea baada ya ajali?
Mkuu si ndio hapo hata mimi nashangaa kwaninituaminishe kibox cheusi ndio kila kitu????
 
Back
Top Bottom