MSAADA: hivi hizi kazi za makampuni ya usafi wa maofisi hapa dar ..huwa zinapatikanaje?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,123
habari zenu wakuu,
nipo hapa kuulizia upatikanaji wa hizi nafasi za kazi ktk makampuni ya usafi wa ofisini ,vyuoni n.k je zinapatikanaje? maana kuna ka"mshkaji" kana BIG FOUR csee17, kanaulzia wapi japo kanapoweza ku"earn a living"
mawazo yen ntayafiksh
 
Halaf mkuu siku hizi maisha yamebadilika usitegemee uharibu shuleni halaf utegemee upate kazi ya usafi.
Hiyo kazi ya usafi si ya kuidharau kabisa coz siku hizi watu wanaisomea Veta hiyo kozi halaf ndio wanaajiriwa kwenye hizo kampuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah maisha ama kweliiiiii ukichezeaaaa elimuuuuu maisha yanakuwa magumu
 
Back
Top Bottom