Mkuu mbona hujajieleza vizuri - unaposema filter una maana gani? yaani application program yako hiwe inakubali utilities fulani na inakataa nyingine! - Unaposema converter una maana gani? unazungumzia compile/interpreter au kubadirisha kwa mfano pdf kwenda kwenye file format nyingine na mwisho unaposema version una maana gani? application moja inaweza kuwa na verson nyingi tu. Nakuomba ujaribu ku-rephrase swali lako hili wana JF wakupe ushauri mzuri.