Msaada: Hili ni tatizo gani?

Basi zingatia usafi. Osha mapumbu yako na uyakaushe vizuri kwa taulo safi. Vaa nguo za ndani safi na usirudie.

Kama husikii tena maumivu wakati wa kukojoa hakuna shida. Zingatia dozi.
 
Basi zingatia usafi. Osha mapumbu yako na uyakaushe vizuri kwa taulo safi. Vaa nguo za ndani safi na usirudie.

Kama husikii tena maumivu wakati wa kukojoa hakuna shida. Zingatia dozi.
Asante Dr,

Tayari nimeanza dozi ya kunywa na kupakaa kwenye dudu.

Mungu anisaidie nipone tatizo wangu maana siko na raha halafu inaniondolea confidence na trust kwa mwenzangu.
 
Kwani hawezi kunywa dawa hadi umwambie !??, yeye ni mtoto!!?🀣🀣

Basi sawa,

Nashukuru kwa ushauri wako, nitazingatia kunywa dawa kwa wakati na kumaliza dozi niliyopewa ndani ya siku kisha nitakuja kuleta mrejesho hapa hapa nikiambatanisha picha ya mdudu.
 
Nakubusu umebusu picha??
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚ We acha tu,nipo naangalia kila mwanaume anae pita mbele yangu na mzoom tu,najisemea moyon sijui na huyu ana saiz hii au Le kiba πŸ’― z. πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚ We acha tu,nipo naangalia kila mwanaume anae pita mbele yangu na mzoom tu,najisemea moyon sijui na huyu ana saiz hii au Le kiba πŸ’― z. πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Pole sana 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…