Msaada: Hili ni tatizo gani?

Picha Iko wapi
 
Asante Dr,

Mara ya kwanza nilimweleza daktari ninavyojihisi, wala has hakutaka nimwoneshe dhakari yangu zaidi ya kunisikiliza na kunipa dawa.

Leo tuko hospital na mwenza wangu ili tuweze kupima na kupata matibabu zaidi kwa pamoja.
 
Safi. Hiyo RPR itadetect Syphilis na Urinalysis itaweza kuonesha uwepo wa Gonorrhea
 
Tunasubiri majibu
 
Safi. Hiyo RPR itadetect Syphilis na Urinalysis itaweza kuonesha uwepo wa Gonorrhea


Tumemaliza Maabara, kwa mujibu wa daktari amesema;
RPR -NIL-
MRDT -NIL-
Urinalysis -Kuna wadudu-

Physical check kwenye dudu, Dr kasema ni fungus infection.

Tumeandikwa Dawa na tunarejea nyumbani kwa ajili ya kuanza kuzitumia.
 
Majibu ya mwenzangu:
RPR -NIL-
MRDT -NIL-
Urinalysis -Kuna wadudu wachache-

Na yeye kaandikiwa dozi yake.
 
Kijana wangu pole sana hilo gonjwa dogo amini utapona but jitahidi next time ungonoke na wanawake wasafi, wanawake wengi wa kibongo ni wachafu sana sehem za siri.. kwa utafiti wangu lakini..
 
Iyopicha mbn ata siioni kama ujachepuka basi mkeo sio mwaminifu na ugonjwa huo dalili zake kwa mwanamke ni ngumu kutambua. Umechovya tu likaangukia kwako pole sana gonorrhea ,Kaswende n.k ni vitu husmabaa kwa kasi zaidi jitaidi kula pipi na Ganda lake
 
Vijana wa ovyo hawasumbuki siku hizi. Ni mwendo wa Azuma na ANTIBIOTICS za Ng'ombe.

Ukidungwa (1X3)3 unakauka kau. Sema kizunguzungu mixer kutapika ni hatari. Unaweza kutapika utumbo.


Anyways mchumba janga, ula na wa kwao.


Nb: Pooe saana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…