Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

Lakini kama una mashaka si urudishe tu mkuu. Huta ifurahia ukiwa na mashaka
 
Kuna jamaa yangu alichukua mlimanicity j5 prime nayo ni feki
 
Sijui ila alinambia amenunua mlimani city
 
nilikuwa naiamini CPU z kwa kutambua simu fek na orijinal lakin naona saiv wajanja wameboresha mbinu zao
 
Wabongo bana! yaani ngoma ishasoma SUMSUNG halafu bado tunaijadili kama ni SAMSUNG og or fake!?
 
Though nimejifunza mengi sana humu, na mimi nikiwa ni mtumiaji wa J7 PRIME since August 2016 na bado sijaichoka japo A3 2017 inavutia sana kwa watumiaji wa chini ya laki 7
 
Kujua kama simu yako ya Samsung ni Original ingia playtore download App inaitwa Phone Info Samsung....halafu nenda sehemu ya refurbished subiri kwa sekunde kadhaa itakwambia Kama simu yako ni Original au La.
Yani itakupa details zote hadi nchi ilikotengenezwa,imechajiwa Mara ngapi,nk
 
Hiyo simu ni orginal sema kinachokuchanganya ulizoea android version ya marshmallow sasa hiyo ni nougat ndo maana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tiku umepagawa mpaka unajiquote mwenyewe
Jaman mkuje jaman nawasubiri mwe !duka litafungwa
Nililuwa nadhani ikitokea hivo ndo original, yani hiyo kijani na blue, au hiyo ndo amolled
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kaka asante sana nina grand prim plus yangu yani nilikuwa nikibisha na watu kuwa ni original wakidai ni copy nimetumia huo utaratib wako wameniambi ni og pamoj na kwamba ni made in china kumbe hat china wanatengeneza samsung original
 
J7 prime ina TFT mkuu syo AMoLED Kama tulvyo zoeaa
A point to note
Watu wangeelewa hii nukta wasinge endelea kujadili muonekano wa hiyo simu kumbe watu hawajui kitu kabisa wanamtia wenge jamaa tu simu org. Anaogopa
 
Kaka asante sana nina grand prim plus yangu yani nilikuwa nikibisha na watu kuwa ni original wakidai ni copy nimetumia huo utaratib wako wameniambi ni og pamoj na kwamba ni made in china kumbe hat china wanatengeneza samsung original
Pamoja sana mkuu...ndo maana nataka na Huyo Jamaa nae adownload hyo App aone itamletea nn tiku
 
Ndio maana sipendagi kabisa haya masamsung, yaani kushikishwa feki ni kugusa tu.

Nakumbuka hata mimi niliwahi kuuziwa S3 mwaka 2014 nikiaminishwa ni OG nimefika home mara inaanza kustuck stuck halafu kamera yake mbovuu kuuliza kwa wanaozijua ndio nikaambiwa sijui ni high copy wala sio OG.

Binafsi mimi sikushauri kabisa ununue Samsung yoyote ile kuna simu za Tecno nzuri tu ambazo hazina makando makando tena nzuri tu kuliko hata hizo Samsung
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…