Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

Sijaelewa mkuu nieleweshe
 
Ni High Copy hiyo mzee usisumbuke mi nnayo J7 Prime Pro inafanya hvyo hvyo
 
Mkuu chief mkwawa hapo nimezima simu nikabonyeza baton ya kupunguza sauti, ya mentioned na ya kuzima ambayo iko upande wa kulia, inatokea hivo happy sikuscreen shot nimepiga picha na simu nyingine ndo nikaihamishia hapa japo kudownload haifiki mwisho imeanza kudownload tangu saa 10 hadi saa 12 haijamaliza nikaikatiza. So pic ya kudownload ndo hiyo

Kwajuu kushoto kulikuwa na vimaandishi vidogovidogo lkn hapa haiomekani
 
Kwajuu kushoto kulikuwa na vimaandishi vidogovidogo lkn hapa haiomekani
hivo vimaandishi ndio vilikuwa vinahitajika. hukutakiwa kudownload kitu (haidownload kitu inaandika tu hivyo)

visome hivyo vimaandishi na uviandike hapa au utume picha inayoonekana hivyo vimaandishi.
 
Mwanzoni nilinunua samsung mtumba wa Korea ilikuwa tamu balaa nikaiuza baadae nikanunua note two kumbe clone kisha nikanunua tena note four kumbe nayo clone ovyo tu nikahamia huawei sijawahi juta na sihami huku
 
hivo vimaandishi ndio vilikuwa vinahitajika. hukutakiwa kudownload kitu (haidownload kitu inaandika tu hivyo)

visome hivyo vimaandishi na uviandike hapa au utume picha inayoonekana hivyo vimaandishi.
Maandishi ni hiyo hapo
 
Mkuu chief mkwawa nimepiga picha ndo hiyo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…