Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

Nawashikuru wote asanteni sana
 
hio ni screenshot ya simu yangu Samsung galaxy j7 neo ni original nimenunua samsung store
 
Nililuwa nadhani ikitokea hivo ndo original, yani hiyo kijani na blue, au hiyo ndo amolled
Kwahiyo hiyo kijani na blue ndo amolled[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Nimetoa zote niangalizien kama ni original roho itulie kama ni feki asubuhi nafungua duka ananikuta nje
Yani hiyo ni original wala usiogope kabisa hiyo ni version ya saba naon umewek had high contrast maandish yakolee yanakuwa desing kam bold safi sana karib ulimweng wa samsung hutojutia
 
Du bora maana nimehaha kweli nikiwaza laki sita
 
Nikidownlod theme inaniandikia hivo hayo maandishi mdogo hapo chini hapa sasa sijui ndo feki
yani kila nikiangalia screenshot zako ukubwa wake naendelea kupata wasi wasi.

hebu ingia download mode kama alivyosema kcamp

zima simu kisha bonyeza home, cha kuwasha simu na kupunguza sauti kwa pamoja.



kunatokea model gani?[/img]
 
Ikiwa kwenye download mudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…