Msaada hichi ni nini? Pumbu linawasha

tajiri wa mwanza

Senior Member
Mar 1, 2017
138
226
IMG_20170417_105135.jpg
IMG_20170417_105145.jpg
 
Pumbu jero
-chanzo
1)kuogea maji ya chumvi
2)kuacha majimaji wakati wa kujikausha pindi unapotoka kuoga.
3)kuvaa nguo nyingi za ndani na kusababisha joto

-tiba
1)paka mafuta ya kulainisha ngozi(wakati wa kulala) Pia acha pumbu zipigwe na upepo.
2)muone daktari Kama haitosaidia.
 
Hizo ni pumba kwenye pumb.....u. Ukijikuna sana utachubuka na ukichubula utakoma hayo.maumivu yake
 
Pumbu jero
-chanzo
1)kuogea maji ya chumvi
2)kuacha majimaji wakati wa kujikausha pindi unapotoka kuoga.
3)kuvaa nguo nyingi za ndani na kusababisha joto

-tiba
1)paka mafuta ya kulainisha ngozi(wakati wa kulala) Pia acha pumbu zipigwe na upepo.
2)muone daktari Kama haitosaidia.
Hayer asantee
 
Ukishaoga safisha vizur kausha then paka whitefield asubuh na jion ...
Zipe nafas ya kupumua usizibane saaana au vaa boxer zile kubwa au kibukta usivae chupi...
Baada ya hapo uwe na utaratibu wa kupaka powder ukitaka kwnda kwny mishemishe zako ili kuabsorb lile jasho lisiweke uvundo na kuruhu fangas kuota
 
Back
Top Bottom