R Red-me JF-Expert Member Joined Jun 26, 2026 Posts 454 Reaction score 971 Jul 9, 2026 #1 Mwanaume anapoteza kila kitu alichokitafuta.jaman hichi kiumbe ni njia ya mauti hakifai kabisa
V Vita dhidiyaujinga JF-Expert Member Joined May 15, 2026 Posts 211 Reaction score 272 Jul 9, 2026 #2 Red-me said: Mwaname anapoteza kila kitu alichokitafuta.jaman hichi kiumbe ni njia ya mauti hakifai kabisa Click to expand... Acha kusambaza chuki eleza yaliyokukuta usaidiwe kwa haki kama shida ni kupenda uchi uache uoe au ubaki bila sex siku zote
Red-me said: Mwaname anapoteza kila kitu alichokitafuta.jaman hichi kiumbe ni njia ya mauti hakifai kabisa Click to expand... Acha kusambaza chuki eleza yaliyokukuta usaidiwe kwa haki kama shida ni kupenda uchi uache uoe au ubaki bila sex siku zote
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,754 Reaction score 45,582 Jul 9, 2026 #3 Nini kimekutokea?
Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 3,102 Reaction score 5,839 Jul 9, 2026 #4 Na mwanaume anaweza akawa adui wa mwanamke, adui ni adui hachagui jinsia
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,788 Reaction score 130,879 Jul 9, 2026 #7 Kamsemee kwa babaake