Nimeolewa nina mtoto,
Mume wangu kachepuka kampa mchepuko mimba,sasa kachanganyikiwa aishi na nani,kaanza kufunga na kusali ili Mungu amuonyeshe nani mke wake,kaenda Malawi kwa mchungaji Mmoja anaitwa Bushiri akamtabiria aachane na mke wa ndoa aende kwa mchepuko,
Sasa hivi hapashikiki, jamaa anataka kunipa talaka ili aoe mchepuko.
Ushauri jamani.