Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,488
Eneo la ardhi litapungua kwa ajili ya kumuhifadhi yeyeππππKabla hatujajibu Kwanza tusaidie kmaa ukifa Sisi kama taifa tutaingia hasara gani??
Sent using Jamii Forums mobile app
361 moja inapoteza mtu makini sana mkuuKabla hatujajibu Kwanza tusaidie kmaa ukifa Sisi kama taifa tutaingia hasara gani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hata wewe mkuuEneo la ardhi litapungua kwa ajili ya kumuhifadhi yeyeππππ
πππππππNilijua umetumia Viagraπ€£,hao ndo hufa mapema Kama juicy agiza maziwa fresh unywe
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€π€π€Hiyo ni soda sio sumu, ulishawahi kunywa huu mchanganyiko sungwi,karanga,mbilimbi,pera,mua na embe ng'ong'o..? Wanamix na kapanado kidogo ili kupunguza makali!! Hata Hivyo sitarudia maana sielewi mpaka leo nilikosea wapi hadi nikadandia gari ya polisi sijui hata nilifata nini..? Ngeo inatosha kuwa kumbukumbu.
Sema tu utakuwa anapumua sana hewa chafuNipo cafe shop hapa nimeagiza Juice natural mixer ya embe passion, Tende,Chungwa na Nanasi, sasa najiuliza sijatengeneza sumu kweli hapa.
Tafadhali wataalamu wa afya njoon huku na wale wa chemistry
Ahsante kwa ushauri ila uzuri nipo singleSema tu utakuwa anapumua sana hewa chafu
Mi nafikiri wasingeweka mbilimbi Mambo yangekuwa safi kabisa! Niliona gari la polisi Kama zile mbavu za mbwa za Zanzibar! Nilipopanda nashangaa wenzangu hawakai nikauliza kwani Kuna konda wangapi humu!!! Banzi moja likanifanya nione buti zao vizuri La pili nikaanza kuona mitutu!! Nikajua nimeshayakoroga Kama mkorogo wenyewe.. ya dunia si Mambo ni maumbo.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€π€π€
Mkuu acha basi kunifanya naharibu hali ya hewa kwa kucheka mnoMi nafikiri wasingeweka mbilimbi Mambo yangekuwa safi kabisa! Niliona gari la polisi Kama zile mbavu za mbwa za Zanzibar! Nilipopanda nashangaa wenzangu hawakai nikauliza kwani Kuna konda wangapi humu!!! Banzi moja likanifanya nione buti zao vizuri La pili nikaanza kuona mitutu!! Nikajua nimeshayakoroga Kama mkorogo wenyewe.. ya dunia si Mambo ni maumbo.
Sijui kama kuna mdhara ila ngoja nikushauri kitu.Nipo cafe shop hapa nimeagiza Juice natural mixer ya embe passion, Tende,Chungwa na Nanasi, sasa najiuliza sijatengeneza sumu kweli hapa.
Tafadhali wataalamu wa afya njoon huku na wale wa chemistry
Waoooh thanx mkuu kwa ushauriSijui kama kuna mdhara ila ngoja nikushauri kitu.
Kama unapenda juice mixer, kunywa ya Embe na passion labda na parachichi.
Tende , usimix maana tayari inakuwa na maziwa ndani.
Chungwa pia kunywa hivyo.
Nanasi nalo usimix.
Mi nafikiri wasingeweka mbilimbi Mambo yangekuwa safi kabisa! Niliona gari la polisi Kama zile mbavu za mbwa za Zanzibar! Nilipopanda nashangaa wenzangu hawakai nikauliza kwani Kuna konda wangapi humu!!! Banzi moja likanifanya nione buti zao vizuri La pili nikaanza kuona mitutu!! Nikajua nimeshayakoroga Kama mkorogo wenyewe.. ya dunia si Mambo ni maumbo.
Mkuu ni hatari mtu anapiga huku anataja vitu alivyokosa maishani toka kazaliwa mpaka alipo tena anataja na vijavyo ambavyo anajua ameshaboronga anasubiri matokeo tu!π€£π€£π€£π€£π€£ Mkuu Anzisha Thread Yako Ya Story Kama Hizi Tucheke Asee... Usiahau Kunitag Nikiyekupa Wazo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duuuh πππππMkuu ni hatari mtu anapiga huku anataja vitu alivyokosa maishani toka kazaliwa mpaka alipo tena anataja na vijavyo ambavyo anajua ameshaboronga anasubiri matokeo tu!
Watu wanataja mpaka na mikeka humo ndani utasikia maneno hayaeleweki mwishoni unasikia Arsenal..!! Hapo utaelewa tu..π
Hahahahaaaaaaaaa....Umenichekesha saanaMkuu ni hatari mtu anapiga huku anataja vitu alivyokosa maishani toka kazaliwa mpaka alipo tena anataja na vijavyo ambavyo anajua ameshaboronga anasubiri matokeo tu!
Watu wanataja mpaka na mikeka humo ndani utasikia maneno hayaeleweki mwishoni unasikia Arsenal..!! Hapo utaelewa tu..π
Lipo mbona la vituko mtandaoniπ€£π€£π€£π€£π€£ Mkuu Anzisha Thread Yako Ya Story Kama Hizi Tucheke Asee... Usiahau Kunitag Nikiyekupa Wazo
Sent from my iPhone using JamiiForums