Msaada hapo tutani jamani wana MMU!

Daaa kama ni ndogo atoe tu ila kuanzia miez minne aache ila itakuwa vigumu msela kukubali mzigo huo. Kama mliachana kwa namna hiyo unalo dada

nikuja gundua kuwa alishaitoa ndugu yangu! Mwanaume mwenyewe alikuwa km mbwa so ya nini kuzaa na stupidy &irresponsible man!
 
Sina ushauri kabisa. Pambafu zake. Mwambie ajibu hapa halfu aamue cha kufanya.
1. Hivi mwanafunzi wa Chuo Kikuu hajui kuwa kuna kinga zidi ya mimba.
2. Mdaruso/Msuaso nk hajui mzunguko wake.
3. Mchuo kikuu hajui kuwa kuna kitu kinaitwa CORPUS INTEREPTUS (kumwaga nje). Hivi hajui matumizi bora ya kifanyio (komdomu).
4. Aliacha somo la elimu ya vumbe (biology) akiwa darasa la kwanza?
Kawaida Bazazi hulipa gharama za upumbafu aufanyao. Naye alipie gharama za upambafu wake.

Bazazi ni Bazazi!
 
mmmh humu jf kwel wadada hawatoi mimba maana hizo comments utasema wote malaika!!!!!
 
Hilo ni dili kabisa, ashapata mtoto wa bure, wala hatabuguziwa na mtu........................
 
Sabry,this is june,post ni ya april,pray tell us,nini kimetokea hapo katikati?
 
Bishanga, the girl decided to abort kimya kimya bila kumshirikisha m2, nlikuja gundua alipokuwa anaugulia, so amebaki na dhambi yake ya kuua, anadai its the best soln as the man rejected the pregnancy nae hawezi kurudi kwao mjamzito tena amekataliwa!
 
Sina ushauri kabisa. Pambafu zake. Mwambie ajibu hapa halfu aamue cha kufanya.
1. Hivi mwanafunzi wa Chuo Kikuu hajui kuwa kuna kinga zidi ya mimba.
2. Mdaruso/Msuaso nk hajui mzunguko wake.
3. Mchuo kikuu hajui kuwa kuna kitu kinaitwa CORPUS INTEREPTUS (kumwaga nje). Hivi hajui matumizi bora ya kifanyio (komdomu).
4. Aliacha somo la elimu ya vumbe (biology) akiwa darasa la kwanza?
Kawaida Bazazi hulipa gharama za upumbafu aufanyao. Naye alipie gharama za upambafu wake.

Bazazi ni Bazazi!

Haha! BAZAZI! Km watu wako na malengo vifanyio na kumwaga nje vya nini? Anyway maji yalishamwagikaga, hakunaga mimba tena so potezea tu!
 
Bishanga, the girl decided to abort kimya kimya bila kumshirikisha m2, nlikuja gundua alipokuwa anaugulia, so amebaki na dhambi yake ya kuua, anadai its the best soln as the man rejected the pregnancy nae hawezi kurudi kwao mjamzito tena amekataliwa!

Makubwa! Madogo afadhali.
Halafu Mungu kwa kutoa adhani,huyu mdada na huyo mkaka weza kuta hawapati mtoto milele.
 
Bishanga, the girl decided to abort kimya kimya bila kumshirikisha m2, nlikuja gundua alipokuwa anaugulia, so amebaki na dhambi yake ya kuua, anadai its the best soln as the man rejected the pregnancy nae hawezi kurudi kwao mjamzito tena amekataliwa!

Kukataliwa nini wapo waliokataliwa na wakazaa sasa hivi wanapeta na watoto wao. Ipo siku alichokifanya atakijutia.
 
mwambie amtaarifu jamaa kuwa ana mimba yake. ila asiweke matumaini juu ya uwajibikaji wa jamaa, yeye menyewe (jamaa) atachuja mchele na pumba ila awe na taarifa. pia aitunze atazaatu. huezi jua mungu kampangia nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom