Msaada hapa tafadhari

Msaada hapa tafadhari

King More

Senior Member
Joined
Feb 1, 2016
Posts
102
Reaction score
54
Mdogo wangu ana ufaulu wa
Kiswahili B
Language E
History E
Wakati wa kuomba chuo aliomba

Education Udsm( muce na Duce)
Education Udom
Lakini pote hajapata, vipi raundi ya pili aombe vyuo gani kwa faculties zipi ambazo ataweza kupata kwa urahisi?
 
Aombe vyuo vidogo vidogo visivyopendwa na wanafunzi, ufaulu wake ni hafifu hawezi pata vyuo bora
 
Mdogo wangu ana ufaulu wa
Kiswahili B
Language E
History E
Wakati wa kuomba chuo aliomba

Education Udsm( muce na Duce)
Education Udom
Lakini pote hajapata, vipi raundi ya pili aombe vyuo gani kwa faculties zipi ambazo ataweza kupata kwa urahisi?
Mwaka huu competition Ni kubwa mno.kama angeomba ushauri kabla ya application kwa alama hizo nisingemshauri aombe UD na UDOM kwa kua wanafunzi wote Tanzania wameshakariri vyuo vikuu ni vitatu tu Tanzania.Mzumbe,Udsm na UDOM.hayo ndio madhara yake sasa.ushauri tu arudie kuangalia guide book pia wasiishi kwa kukariri
 
Back
Top Bottom