Hapo ilipo hiyo ndege, ni wapi?, nchi gani? airport gani?Msaada maana yake ni kuomba kusaidiwa kutatua tatizo au Jambo la muhimu. Sasa tatizo liko wapi hapo?
Swali ni ?Picha ya zamani sana hii, hiyo nembo ya ATCL ilikua inatumika early 2000s kurudi nyuma nadhani, nimefatilia sana sijapata kitu😂