Msaada: Hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara

Msaada: Hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara

mkuu asalu tangawizi sijui mtindi ukiweja tena na mdalasini na vitunguu swaumu plus tikiti maji ni extra ordinary natural viagra...unavofanya na mazoezi ndo kabisaa utaja ua nwanamke kitandani..achana na hizo asi na tangawizi kwa muda....nazoezi fanya ila hivyo vinywaji acha kwanza
 
Kiukweli Hatamimi hiyo hali ninayo uume wang kusimama kila wakati mpaka maumivu na hisia Kali mapenzi Japo sikuwahi fanya zinaa
 
Habari za jioni wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada,

Mimi ni kijana mwenye miaka 26 na sijaoa. Tatizo langu kubwa ni hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara, yani muda mwingi mashine inakuwa imesimama iwe asubuhi mchana au usiku.

Nimejitahidi sana kufanya mazoezi lakini sijaona mafanikio. Mimi huwa napenda sana kula vyakula vya asili tu na situmii kilevi chochote wala soda situmii, kinywaji changu kikuu ni maziwa na maji labda na juice ya kutengenezea nyumbani.

Kila asubuhi lazima nifanye mazoezi then napata glass tatu za maji yaliyochanganywa na tangawizi pamoja na kijiko kimoja cha asali, sasa kuna mtu kaniambia huenda ndio chanzo cha kusimamisha ovyo, Je kuna ukweli hapo?

Nilishajaribu pia kukaa na mwanamke ndani kwa mwezi mmoja lakini hali iliendelea hivyo hivyo hadi akawa analalamika kuwa namuumiza tu na akaanza kuniambia kuwa huenda kuna dawa nimetumia ili nimkomeshe wakati siyo kweli.

Ahsanteni.
badili hiyo lishe
 
Back
Top Bottom