Msaada: Hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara

Unahamu b'se huwa unayapa nafasi kubwa katika fikra zako, so hata ufanye mazoezi haita saidia bali badili fikra. Samahani lakin
 
Unahamu b'se huwa unayapa nafasi kubwa katika fikra zako, so hata ufanye mazoezi haita saidia bali badili fikra. Samahani lakin
To be honest siyapi nafas hata kidg,na mda mwingi nakuwa bize sana....
 
Sasa anza kula chips mayai manne kila jioni, hili tatizo litaisha lenyewe.
 
Kila kitu kina matokeo yake,matokeo ya yote unayoyafanya ni kuwa na stimu za kuwasha moto mda wote.
Dawa ni kuwawashia moto tu hakuna namna nyingine.
 
Back
Top Bottom