MSAADA; GTA 4 inagoma ku play..

MSAADA; GTA 4 inagoma ku play..

Hamiyungu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
599
Reaction score
778
msaada wajomba unahitajika hapa,hiyo game nime install vizuri kabisa tatizo kila nikijaribu kuifungua napata error message "seculauncher;failed to start application (2000).....kama unajua namna ya solve hii kitu tafadhali jua msaada wako unahitajika hapa.
 
Yap uninstall hiyo nyingine.
baada ya ku download na ku install sasa inaniletea error msg hii: Exception EFCreateError in module DSOUND.dll at 000116C5.cannot create file.
 
Ok labda tatizo ni installer yako imetengeneza a folder which is "read only" kwahiyo haiwezi kuadd files kwenye hii folder. Jaribu one of these two steps:

Solution 1. Open game disc halafu right-click the installer halafu choose "run as administrator" kutoka kwenye menu.
Solution 2. Nenda "C:\Program Files (x86)\Rockstar Games\Grand Theft Auto IV" location halafu right-click the "Grand Theft Auto IV" folder chagua "properties" kutoka kwa menu halafu untick "Read Only" (click mpaka boxi lote liwe empty)

Jaribu hizi and lets see if it'll work 🙂
 
Back
Top Bottom